Loading Events

SINGELI LIVE CONCERT: K-ZUNGU, MAKAVELI & WAMOTO BAND

April 30 @ 8:00 pm - 10:00 pm

Free

Venue

Alliance Française de Dar
Alliance Francaise, Dar es Salaam
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
+ Google Map
Phone:
+255 22 213 1406

Organizer

Alliance Française de Dar
Phone:
+255 22 213 1406
Email:
info@afdar.com
View Organizer Website

Details

Date:
April 30
Time:
8:00 pm - 10:00 pm
Cost:
Free
Event Category:

Other

Area(Town/City)
Alliance Française de Dar, Dar Es Salaam

This April, we close the month with fire and flair at a special Singeli Night dedicated to celebrating our two incredible colleagues with an energetic, heartfelt sendoff! Leading the charge are three of Tanzania’s most electrifying Singeli acts: Makaveli, Wamoto, and K-Zungu.

Makaveli is a pioneer of Singeli music and one of the genre’s earliest ambassadors. With international performances at festivals across Europe and collaborations with artists from Brazil, Nigeria, and the DRC, Makaveli brings unmatched stage presence and lyrical intensity.

Wamoto, the all-female powerhouse group, blend traditional Tanzanian sounds with fierce modern rhythms. As artists and mentees under the Uswazi Born Talented initiative, their high-energy performances are an anthem of empowerment and unity.

Rounding out the night is K-Zungu, a rising Singeli star known for his sharp lyrical delivery, viral hits like “Battery Low” and “Chapombe”, and a mission to amplify the voice of Tanzania’s youth through music.

Don’t miss this night of fast beats and raw energy, and proper Singeli celebration which will see the launch of Singeli Media and Singeli Movement’s Website.

_________________

Aprili hii, tunafunga mwezi kwa moto na shamrashamra katika Usiku Maalum wa Singeli, tukiwatakia heri ya kuagana kwa upendo na nguvu wafanyakazi wetu wawili wa kipekee!
Viongozi wa jukwaa ni wasanii watatu wa Singeli waliokolea: Makaveli, Wamoto, na K-Zungu.

Makaveli ni miongoni mwa waanzilishi wa muziki wa Singeli na mabalozi wake wa kwanza. Akiwa amewakilisha Tanzania katika matamasha ya kimataifa Ulaya na kushirikiana na wasanii kutoka Brazil, Nigeria na DRC, anajulikana kwa uwepo wake wa nguvu jukwaani na mashairi makali yanayogusa.

Wamoto, kundi la wasichana wenye nguvu na vipaji, huunganisha midundo ya kitamaduni ya Tanzania na mitindo ya kisasa ya Singeli. Wakiwa wasanii waliokuzwa chini ya mpango wa Uswazi Born Talented, maonesho yao ni mwamko wa nguvu, mshikamano, na usawa.

Tukio litahitimishwa na K-Zungu, nyota anayeibukia wa Singeli anayejulikana kwa uandishi wake wa mashairi makali, nyimbo zake maarufu kama “Battery Low” na “Chapombe”, pamoja na dhamira ya kuupa sauti ujana wa Tanzania kupitia muziki.

Usikose usiku huu wa midundo ya kasi, nguvu isiyo na kifani, na sherehe ya kweli ya Singeli ambayo pia itashuhudia uzinduzi wa tovuti za Singeli Media na Singeli Movement.