
- This event has passed.
STITCHING STORIES EXHIBITION
July 26 @ 2:00 pm - 4:00 pm

Baada ya mafunzo ya sanaa ya ushonaji na simulizi kupitia program ya “Stiching Stories”/“Hadithi Zetu Ndani Ya Nyuzi”, wanufaika wa mradi huu wanaenda kufanya maonyesho ya bidhaa zao zilizobeba simulizi mbalimbali.
Tunakukaribisha wewe kama mdau kua sehem ya safari hii kwa kununua kuponi yenye thamani ya Tzs 20,000/= au kulipia zaidi.
Kununua kuponi hii kutakuwezesha kuondoka na bidhaa ya thamani hiyo au zaidi endapo utalipia zaidi.
Maonyesho ni bure ila tunakusihi wewe kama mdau kua chachu ya maendeleo ya program hii kwa kununua kuponi mapema.
Maonyesho ni tar 26/7/25 Rafiki Artpreneurs Bagamoyo kuanzia saa nane mchana mpka saa kumi na moja jioni
Malipo yanapokelewa :
RAFIKI ARTPRENEURS 015C000GGUE00
CRDB