- This event has passed.
STORIES WE GOT TO TELL
August 7, 2024 @ 7:00 pm - 10:00 pm
Tsh15000 – Tsh50000Katika kilindi cha moyo ,zipo simulizi tamuu,simulizi zenye kushibisha haja ya masikio yenye njaa na kukonga nyoyo,simulizi zenye kufurahisha ,kuchangamsha na wakati mwengine kuhuzunisha.
Simulizi zenye kufundisha,kuonya na kubadilisha mitazamo hasi….
Je masikio yako yameshibaa?
Moyo wako umekongwa na simulizi za utu?
kama laaa ungana nasi kusikiza sauti tamu za bunifu zilizobeba simulizi kutoka katika kina cha moyo.
Hizo zote utazikuta ndani ya *sauti ya mtaaa*.
Tarehe 07 August 2024 tunakutana Little theater DSM
Jinsi ya kupata tickets
1. Download/ fungua Nilipe App
2. Chagua Entertainment
3. Chagua ( Sauti ya Mtaa)
4. Chagua namba ya ticket unazo taka kisha kamilisha malipo
Get you tickets now from Nilipe App https://nilipe.co.tz/app
#Sauti ya mtaa
#We got stories to tell.
#Triple C Africa