SUSHI SPECIAL EXHIBITION
October 18 @ 9:30 am - 6:00 pm

“I Love Sushi”, Maonesho Maalum ya Sushi kuanzia Septemba 20 mpaka Oktoba 10, 2025, kwenye Makumbusho ya Taifa ya Tanzania,Dar es salaam, 9:30 asubuhi mpaka 6:00 jioni kila siku.
Fahamu uzuri wa sushi🍣, hazina ya Washoku iliyotokea zaidi ya miaka 1,000 iliyopita, sasa ikitambuliwa na UNESCO kama sehemu ya urithi wa kitamaduni wa Japan. Njoo na marafiki zako, familia yako, tusherehekee sushi, historia, sanaa, na ladha pamoja🇹🇿🤝🇯🇵
Karibuni Sana!

********
“I love Sushi”, Special Sushi Exhibition from September 20 to October 10, 2025, at the National Museum of Tanzania. Doors follow the museum’s hours: 9:30 AM to 6:00 PM daily.
Discover the beauty of sushi🍣, a Washoku treasure that began over 1,000 years ago, now recognized by UNESCO as part of Japan’s intangible cultural heritage. Bring your friends, bring your family, bring your curiosity let us celebrate sushi, history, art, and taste together🇹🇿🤝🇯🇵