
- This event has passed.
TAMASHA LA MZIKI WA DANSI
February 1 @ 6:00 pm
Free
Karibu kwenye tamasha la mziki wa Dansi likataloshirikisha bendi ya Twanga Pepeta @twangapepeta ,Bendi ya Msondo Ngoma @msondo_ngoma_ , Bendi ya @fm.academia litakalofanyika tarehe 1 Februari 2024 katika viwanja vya Leaders Club, kuanzia saa kumi na mbili jioni. Karibuni sana wote