- This event has passed.
Tanzanian Culinary Chronicles: The Uluguru Prelude
February 16, 2024 @ 6:00 pm - 9:00 pm
Tsh30000“Tanzanian Culinary Chronicles: The Uluguru Prelude”
Step into a celebration of culinary craftsmanship, with each dish telling a story of heritage and heart. The event series will periodically unveil the rich tapestry of Tanzania’s cuisines. This exclusive gathering offers a sneak peek into the series, shining a spotlight on the talented food artists bringing Uluguru traditions to life.
@Wild Flour Café & Bakery
16th February 6-9pm
Contribution TSh 30,000
“Hadithi za Mapishi ya Kitanzania: Toka kwa Waluguru”
Maelezo : Jiunge kuadhimisha ustadi wa upishi wa mapishi ya Kitanzania, ambapo kila sahani inasimulizi/ hadithi ya urithi toka moyoni. Mfululizo wa matukio utakuonyesha utajiri wa vyakula vya Tanzania venye vionjo vya kipekee. Mkusanyiko huu wa kipekee unakupa fursa ya kuleta kwako wapishi wabobezi toka jamii ya Waluguru wakikuletea chakula ambacho nisehemu ya utamaduni wao toka zama hadi zama.
Karibu kwenye tukio hili la kustajabisha!
Mahali: Wild Flour Café & Bakery Tarehe: 16 Februari, Muda: Saa 12 jioni – 3 usiku Mchango : TSh 30,000