- This event has passed.
THE ART AND BUSINESS OF SHORT FILMMAKING
January 30 @ 2:30 pm - 5:00 pm
FreeJoin us for a workshop at the Goethe-Institut exploring the role of short film in a filmmaker’s or film producer’s career. The workshop will be hosted by Heinz Hermanns, founder and director of INTERFILM – International Short Film Festival Berlin and Ajabu Ajabu.
The workshop will explore the definition of short films and examine a variety of short films to better articulate what it means to succeed in the medium, both creatively and economically. Special focus will be paid to methods for finding audiences for short films, what to expect when searching for short film platforms, as well as the pros and cons of the film festival circuit.
Free Entry and Registration on Arrival (Space is limited)
Date: 30 January 2024
Time: 2.30 PM – 5.00 PM
Location: Goethe-Institut, Alykhan Road No. 63, Upanga
https://maps.app.goo.gl/FBkv2kJ8sDWRvY656
****************
Jiunge na Goethe-Institut katika warsha inayoangazia nafasi na dhima ya filamu fupi katika taaluma ya mtengenezaji wa filamu au mtayarishaji wa filamu. Warsha itasimamiwa na Heinz Hermanns, mwanzilishi na mkurugenzi wa INTERFILM – Tamasha la Kimataifa la Filamu Fupi Berlin kwa kushirikiana na Ajabu-Ajabu
Warsha hii itafafanua maana ya filamu fupi na aina mbalimbali za filamu fupi ili kueleza vyema namna ya kufaulu kupitia nyanja hii kiubunifu na kiuchumi. Tutaangazia pia katika mbinu za kutafuta watazamaji wa filamu fupi, nini cha kutarajia wakati wa kutafuta majukwaa ya filamu fupi, pamoja na faida na hasara za mzunguko wa matamasha ya filamu.
Kushiriki ni bure, Kujisajili ni Mlangoni
(Uwahi kufika kwani Nafasi ni chache)
Tarehe: 30 Januari 2024
Muda: 2.30 PM – 5.00 PM
Mahali: Goethe-Institut, Alykhan Road No. 63, Upanga