- This event has passed.
TULIVU POETRY SHOW – KULA CHUMA HICHO
May 27, 2023 @ 7:00 pm - 11:00 pm
Tsh10000 – Tsh20000Hello It’s TULIVU POETRY na Show hii itafanyika Jumamosi ya Mwisho wa MWEZI HUU Njoo uburudike na Mashairi, Standup Comedy, Live Band& Acoustic Perfomence.
Tarehe 27/5/2023
Muda – Saa 1-5 Usiku
Viingilio – VIP -20k REG -10k
Location – VIVI FOOD MBEZI AFRIKANA
Nunua Tickets Mapema Kwa namba 0784895101