- This event has passed.
TWENZETU MIKUMI NATIONAL PARK
August 10, 2024 - August 11, 2024
Tsh50000 – Tsh100000araninge nature safaris imeandaa safari ya kwenda hifadhi ya taifa mikumi Kwa gharama nafuu unakosaje Kwa mfano
Wakubwa 100000/=
Watoto 50000/=
Wageni wa nje 120$
Kwa. Mawasiliano zaidi tupigigie
+255786336540
+255717044049
+255757230530