- This event has passed.
ULUGURU INAVUTIA
August 31, 2024 - September 1, 2024
Tsh80000Unayajua maji ya maporomoko wewe? Yani yale maji ya kutokea mbinguni.
Sasa tarehe 31Agosti mpaka tar 1 Septemba wapenzi wa maji wote tunamtoko wa Kutokea Dar es salaam kwenda Morogoro naam yan Dar mpaka Moro kwenda kupanda milima ya @ulugurunatureforest kutembelea misitu na Kuogolea maji ya Mungu
Sasa jiunge nasi kwa sh 80,000 tu ufurahie usafiri kwenda na kurudi, vyakula, malazi, mbuzi choma, utalii, picha kali, muziki na kutengeneza afya yako.
Kwa mawasiliano 0676015055 au 0747436960
Kumbuka malipo yote ni kupitia Mpesa lipa Namba 5537426
Imeandaliwa na @we.evergreen na kupewa nguvu na @mufasa_sto