Loading Events

  • This event has passed.

ULUGURU VALENTINE EDITION

February 14 @ 8:00 am - 5:00 pm

Venue

Uluguru Mountains
Uluguru Mountains, Morogoro
Morogoro, Tanzania, United Republic of
+ Google Map

Organizer

Morogoro Hiking
Phone:
+255719817621

Details

Date:
February 14
Time:
8:00 am - 5:00 pm
Event Categories:
,

Other

Area(Town/City)
Uluguru Mountaints

Karibu katika tukio la kipekee la siku ya Wapendanao yaani Valentine’s Day!

Jiunge nasi kwa siku mbili za kipekee za kufanya Hiking, Camping, na BBQ katika mandhari ya kupendeza ya Mlima Uluguru.

Hapa utapata fursa ya kushuhudia Maporomoko ya maji (Choma waterfall) yanavyo dondoka kwa ustadi wa asili, huku ukifurahia mandhari ya kijani 🍀kibichi🌺 na kupiga picha zenye kumbukumbu ya kipekee.

Ikiwa hiyo haitoshi, utapata pia ladha ya matunda safi ya strawberries 🍓🍓 yanayo limwa juu ya mlima Uluguru sambamba na kufurahia chakula cha jioni cha BBQ kilichosheheni ladha za kipekee.

Hii ni nafasi ya kujivinjari na kusherehekea upendo wewe na mpenzi ama rafiki yako katika mazingira ya asili na yakuvutia.

Usikose fursa hii ya kipekee itakayo husisha usiku mmoja⛺ na mchana mmoja☀️ kwenye vilele vya mlima Uluguru

Book your trip now…ama uliza chochote kwa namba hizi👇🏼

+255719817621
+255758217623

#tanzania
#morogoro
#tanzaniatourism
#culturaltourism#naturelovers
#camping #hiking #ecotourism
#Morogoro_hiking#valentine