
- This event has passed.
VUNJA BEATZ BATTLE
December 15, 2023 @ 7:00 pm
Free
TAARIFA *VUNJA BEATZ BATTLE * BREAKING BATTLES & DJ CYPHER – 15 DEC 2023, ASEDEVA
VIPAJI CHIPUKIZI BATTLE ~kwa wale wanaopenda breaking, lakini hawajawahi kushiriki au wana uzoefu mdogo wa kushiriki kwenye mashindano ya breaking (battles).
Mshindi: 30.000 TZS
Mshindi wa pili: 15.000TZS
WAKONGWE WAKALI BATTLE ~ kwa wazoefu wa kushiriki kwenye mashindano ya breaking (battles).
Mshindi: 100.000 TZS
Mshindi wa pili: 30.000TZS
DJ CYPHER
•Dj Magz • DJ Kwaro • DJ Raybo
Majaji – Wazoefu wa breaking waliochaguliwa na waliopata mafunzo kutoka kwa B-boy Kaweesi Mark (Breakfast-Jam/Uganda) ambaye ni jaji aliyeidhinishwa na WDSF.
WAPI: ASEDEVA, Kinondoni, Manyanya
LINI: Ijumaa 15 Decemba
SAA: 1 USIKU
KIINGILIO: Bure kabisa
KUJISAJILI: Tuma message kwa Otilie 0718464460 (BBK Breakers)
Tukio linaletwa kwenu na BBK Breakers kuungwa mkono na ASEDEVA
Kaweesi Mark / Breakfast-Jam
na B-Boy Drift & B-Boy Jijo/King Off the Street
ITAKUWA FUJO ZAIDI YA FUJO