- This event has passed.
WATUBAKI – LAUGHTER EXPERIENCE
July 21, 2023 @ 7:00 pm - 11:30 pm
Tsh10000 – Tsh50000WATUBAKI EXPERIENCE tumeingia ndani ya DODOMA na NBC DODOMA MARATHON @nbc_tanzania. Show itakuwa
MABEYO COMPLEX – IJUMAA 21.7.2023 kuanzia saa 1:30 jioni
VVIP- 50,000Tsh | VIP – 20,000Tsh | Regular – 10,000Tsh
TICKETS ZINAPATIKANA
1. @littlemoredodoma iliyopo barabara ya 6
2. @denzel_driveway iliyopo Shoppers Plaza
3. @capitalminisupermarket iliyopo capital city mall
4. @nbc_tanzania Dodoma branch
Tukimaliza Dodoma tunarudi Dar kwa Show ya Ijumaa 28 July 2023 Vicheko vya Dar viko palepale
Piga: 0746 800 940