- This event has passed.
WEDDING VENDORS WORKSHOP & POP UP SHOP
October 14, 2024 @ 8:00 am - 6:00 pm
Tsh70000 – Tsh170000*Adorable Wedding Trade Fair* inakuletea Workshop kabambe kwa ajili yako wewe mtoa huduma za Sherehe nchini.
Karibu sana ujifunze, uconnect na kutangaza biashara yako kwa ukubwa.
Wewe ambae ni bibi/bwana harusi mtarajiwa karibu ukutane na watoa huduma wote sehemu moja na wakutimizie furaha ya harusi ya ndoto yako
– Tarehe 14/10/2024
– Warehouse, Masaki
– Kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa 12 jioni.
GHARAMA
– Ushiriki workshop – Tshs. 70,000
– Meza ya Biashara tu – Tshs. 130,000k
– Meza ya biashara na kushiriki workshop – 170,000
– Kiingilio ni bure kwa wewe ambae unakuja kutembelea mabanda
Karibu sana ukutane na wabobezi wa kazi za Sherehe nchini.
*Tupigie 0759265607 kwa maelezo zaidi!*