- This event has passed.
ZIFF GOES MAINLAND – Opening Night: Eonii
November 3, 2023 @ 7:30 pm
FreeZIFF GOES MAINLAND – Opening Night: Eonii Directed by Eddie Mzale (TZ)
Join us this Friday for the Opening night of ZIFF Goes Mainland – the film festival showcasing movies base don the theme of “finding identity” all across different insitutions on the mainland for a month. The Opening night will be at Alliance Francaise kicking off with a science-fiction first from Tanzanian director Eddie Mzale.
SYNOPSIS: In the distant future, a lone scientist makes a breakthrough discovery, called Eonii, that may save the nation and the continent, forces in the shadows begin to surface. Lies, betrayal, politics, and war, all to decide one thing, who should control the power of the Eonii?
RECAP
On Friday, 3rd of November at 7:30pm
At the Alliance Française of Dar Es Salaam
Free Entrance
______________________________________
[SINEMA] ZIFF KUELEKEA BARANI – Usiku wa ufunguzi wa Eonii, imeongozwa na Eddie Mzale (TZ)
Ungana nasi Ijumaa hii katika usiku wa ufunguzi wa ZIFF kuelekea barani – tamasha la filamu linaloonyesha msingi wa filamu wenye lengo la kutambulisha vitu vyote vinavyohusiana na taasisi mbalimbali barani, ndani ya mwezi mmoja. Usiku wa ufunguzi utafanyika Alliance Francaise ikianza na Sayansi ya kufikirika ya kwanza kutoka kwa muandaaji wa kitanzania Eddie Mzale.
MUHTASARI :katika siku za baadae , mwanasayansi pekee anayebahatika kufanya ugunduzi uitwao Eonii, ambao ungeweza kusaidia Taifa na bara , nguvu iliyopo ndani ya kivuli kuanza kuibuka. Uongo, usaliti,siasa na vita, vyote kwa ajili ya kuamua jambo moja, Nani anapaswa
Kuongoza Eonii?
Ijumaa, tarehe 03 Novemba, saa 1:30 jioni
Mahali: Alliance Française Ya Dar Es Salaam
Hakuna kiingilio