Mapping So Far: Open Studio By Marguerite Minnot Thomas
NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es SalaamUsikose siku ya Jumanne ikiwa ni hitimisho la makazi ya muda mfupi ya msanii wa kupiga picha Marguerite Minnot Thomas (@margotmtmt) ambapo atakua ameanda matokeo ya taifiti yake yenye jina “ Mapping So far..” Katika kipindi chake hapa NAFASI, msanii Marguerite ameendeleza utafiti wake wa kutengeneza ramani ya ushirikiano pamoja na baadhi ya wasanii na […]