MARAFIKI MUSIC FESTIVAL – MUSIC FROM THE PEOPLE TO THE PEOPLE
KIJIJI CHA MAKUMBUSHO Kijiji cha Makumbusho, Dar es Salaam, Dar es SalaamTumefurahi sana kuona @marafikimusicfestival imewasili kwa sham sham, Yani uhakika wa burudani yenye uweredi na viwango vya juu muziki wa kiafrika umewasili. Burudani na sherehe za kufurahia muziki wa kiafrika na utamaduni wetu utafanyika pale kwenye viwanja vya kijiji cha makubusho mkabala na kitu cha busi cha makumbusho kuanzia tarehe 5,6,7 Oct 2023 na kisha kumalizikia bagamoyo […]