FEEL FREE INFO SESSION
Nafasi Art Space Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es SalaamTunayofuraha kuwakaribisha wote Nafasi Art Space kwa kipindi maalumu cha maswali na majibu kuhusu fursa ya ufadhili kupitia mfuko wa ruzuku wa FEEL FREE Grants Programme. Utakaohusisha kujadili kwa kina, kujibu maswali uliyo nayo na kuelezea vigezo mbambali vitavyozingatiwa kuwezesha wasanii, taasisi na mashirika ya Sanaa na utamaduni kunufaika na ruzuku hii ya awamu ya […]