KALAAM SALAAM:
Alliance Française de Dar Alliance Francaise, Dar es Salaam, Dar Es SalaamKALAAM SALAAM: Je, Kuna Haja ya Kuweka Mipaka ya Kisanaa Kwenye Fasihi Jiunge nasi Alhamisi, 2 Novemba katika Kalam Salaam! Njoo ushiriki kwenye majadiliano ya wote juu ya mada inayosema: je, kuna haja ya kuweka mipaka ya kisanaa kwenye fasihi? Kwa wapenda kipaza huru, karibuni kutumbuiza, kusoma, ama kughani katika Kalam Salaam! MUHTASARI Siku: alhamisi […]