HABA NA HABA DANCE EXTRA
ASEDEVA ASEDEVA, Dar es Salaam, Dar Es SalaamHaya sasa Ijumaa si ndio tarehe 16 Katika shamra shamra zakuelekea katika tamasha letu Pendwa Lakimataifa mwaka huu HABA NA HABA INTERNATIONAL DANCE FESTIVAL Tunapenda kukujurisha wewe mpenzi wa dance kuwa katika program yetu Yakila mwezi iitwayo HABA NA HABA DANCE EXTRA Inapenda kukumbusha kuwa mwezi huu tutakuwa na battle inayo tambulika kama DANCE WITH […]