OPEN CALL OPPORTUNITY
onlineMWITO WA MAOMBI: Mradi wa VIJANA@rtWORK Je, wewe ni Shirika linaloongozwa na Vijana na uko tayari kutumia utamaduni kama nyenzo ya mabadiliko ya kijamii? Hii ndiyo nafasi yako! Vigezo vya Ushiriki - Shirika linaloongozwa na Vijana (YLO) - Lipo katika moja ya kanda 7 za Tanzania: Ziwa, Magharibi, Kaskazini, Mashariki, Kati, Nyanda za Juu Kusini, […]