DHAHABU FRIDAY
NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es SalaamKaribu Dhahabu Friday! Tukio la kipekee likiongozwa na (@john_kitime), likikuletea raha ya muziki wa zamani kutoka kila kona ya dunia! ๐๐ท๐ธ Na safari hii, DJ Seche (@dj__seche)atakuwa nasi kuhakikisha burudani haikomi! ๐ง๐ฅ ๐บ๐พ๐๐พ Furahia Rhumba, Chacha, Reggae, Kavasha, Blues, Country na zaidi! ๐ค Usiku pia utapambwa na Karaoke Night pamoja na michezo mbalimbali ya kufurahisha! […]