BONGO FLAVA MUSIC-JUMA NATURE
NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es SalaamTunajivunia na kufurahi kwa dhati kumkaribisha @sir_nature gwiji wa Bongo Flava na rap ya Kiswahili – kuja kubless jukwaa la Lete Stori mwezi huu hapa Nafasi Art Space! 🏠🔥 🗓 Tarehe: 23 Agosti 2025 ⏰ Saa: Kuanzia saa 1 jioni mpaka kuendelea 🎟 Kiingilio: BURE Njoo ushuhudie mazungumzo ya kipekee kuhusu historia yake ya muziki, kutoka […]