DHAHABU FRIDAY
Nafasi Art Space Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es SalaamKaribu Dhahabu Friday! Tukio la kipekee likiongozwa na @John Kitime, likikuletea raha ya muziki wa zamani kutoka kila kona ya dunia! 🌍🎷🎸 🕺🏾💃🏾 Furahia Rhumba, Chacha, Reggae, Kavasha, Blues, Country na zaidi! 📍 Nafasi Art Space 🗓️ Tarehe 11 Julai ⏰ Kuanzia saa 12 jioni mpk baadae 🎟 Kiingilio ni BURE!