SET DESIGN WORKSHOP
Nafasi Art Space Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es SalaamKaribu kwenye warsha ya siku mbili ya Ubunifu wa Mandhari (Set Design)! Utajifunza: 🎬 Umuhimu wa mandhari kwenye filamu 🎬 Jinsi ya kuunda mandhari inayolingana na muswada 🎬 Matumizi ya vitu vya kawaida (props) kuboresha mandhari yako Na mambo mengine mengi..... Tarehe: 24-25 Julai Mahali: Nafasi Art Space, Mikocheni Muda: Saa 3 asubuhi – 10 […]