MUSIC CONCERT LIVE!
Mi Casa Lounge Mi Casa Lounge, Tabata, Dar Es SalaamJambo letu ni leo @micasalounge_tabata Producers na wadau wa muziki watakuwepo. Hii ni kuwapa wasanii wachanga nafasi ya kuonyesha vipaji vyao pamoja na uzoefu wa kufanya show. Mi Casa, Magengeni Street. Tabata. Reservations: 0713 53 00 33