ETHEREAL ENCOUNTERS
NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam“Ethereal Encounters” ni kuhusu kugundua uzuri katika sehemu zisizotarajiwa. Unaweza kuona uzuri kwenye jani linalocheza kwenye mwanga wa jua, kwenye utulivu wa jengo lililotelekezwa, au mtu anayesimama pekeyake kwenye mandhari kubwa. Wasanii kwenye maonyesho haya watatuonyesha picha hizi za uzuri kwa kutumia picha nyeusi na nyeupe. Kwa mwanga na kivuli, umbo na mguso, watawakaribisha watazamaji […]