NIGHT OF THE KINGS
Mikoko White House Mikoko White House, Dar es Salaam, 827 Ngome Rd, Dar es SalaamPicha La Leo, inakuletea Muvi kali kutoka nchini Ivory Coast iliyoongzwa na Philippe Lacote, "Night of The Kings." (Usiku wa Wafalme) Kijana mmoja anatupwa katika gereza linaloendeshwa na kusimamiwa na Wafungwa wenyewe. Huko anagundua desturi ya Mtu kusimulia hadithi ambayo itatoa hatma ya aidha Kufa au Kuishi. kuhudhuria, tuma jina kwenda +255783950447 Tar 26 […]