KALAM SALAAM – FARADHI YA MOYO
Alliance Française de Dar Alliance Francaise, Dar es Salaam, Dar Es SalaamSalaam wapenzi wa Kalaam! Wapenzi wa fasihi, baada ya mapumziko mafupi ya kunoa visu vyetu vya ubunifu, tunafuraha na shauku kuwarudisha nyote kwenye usiku wetu wa fasihi! Jitayarishe kuzama ndani ya mito ya fasihi; vuta makasia kwa nguvu na ubunifu wako chanya. Hatutasherehekea tu kipaji chako; bali tutavaa nyavu nzima ya ubunifu wako na kuanika […]