BINTI SANAA INAWEZEKANA
KIJIJI CHA MAKUMBUSHO Kijiji cha Makumbusho, Dar es Salaam, Dar es SalaamFURSA KWA WANAWAKE WENYE VIPAJI VYA MUZIKI (KUIMBA AU KUPIGA VIFAA) Mradi wa BINTI SANAA 'Inawezekana' una lengo la kunyanyua vipaji vya wanawake kwa kutoa mafunzo ya muziki bure na kuwaunganisha na fursa mbalimbali katika tasnia hii. Walengwa ni Wanawake wenye vipaji vya muziki ambao wanaishi Dar es salaam na Bagamoyo. Usahili/Audition kwa Dar es […]
Free