MAKUMBUSHO BOYZ EDITION
MILLENIUM TOWER Bagamoyo Rd,, Dar Es SalaamTicket zimefika makumbusho ladies and gentlemen Tarehe 31.3.2023 ni show ya kuaga robo mwaka makumbusho boys Edition tutakukumbusha tu usijali!
Tsh15000 – Tsh30000
Live standup comedy Show & platform for talented comedians around Tanzania
Ticket zimefika makumbusho ladies and gentlemen Tarehe 31.3.2023 ni show ya kuaga robo mwaka makumbusho boys Edition tutakukumbusha tu usijali!
Kucheka ni afya lakini kuchekesha Ni MCHONGOOO! Na ndio maana Jukwaa kubwa la Comedy Tanzania Cheka tu wanatoa mchongo kwa wachekeshaji, 28.7.2023 tunakupa mchongo wewe mchekeshaji na kuchekesha watanzani Ndani ya Mlimani city kuanzia saa 1:30 milango itakuwa wazi kwa kiingilio cha 15 K seat za kawaida, 30K VIP, 50K VVIP na 300K kwa Speacia […]