SANAA YETU
Creative Arts, University of Dar es Salaam Creative Arts, University of Dar es Salaam, Dar es SalaamMUZIKI UKIKUTANA NA UBUNIFU, HUZALIWA HISTORIA! ✨ @music_chapter345 wa Idara ya Sanaa Bunifu – Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wanakualika kwenye maonesho ya kipekee ya muziki na sanaa: 🎼 SANAA FAHARI YETU 🎼 Wakiongozwa na @dr.chemical_tz jiandae kushuhudia maonesho ya kiwango cha juu. Kutakuwa na performances za kuvutia, live band, uimbaji, ala za […]
Free