BEGIN:VCALENDAR
VERSION:2.0
PRODID:-//Wapi2go - ECPv6.0.7.1//NONSGML v1.0//EN
CALSCALE:GREGORIAN
METHOD:PUBLISH
X-ORIGINAL-URL:https://wapi2go.com
X-WR-CALDESC:Events for Wapi2go
REFRESH-INTERVAL;VALUE=DURATION:PT1H
X-Robots-Tag:noindex
X-PUBLISHED-TTL:PT1H
BEGIN:VTIMEZONE
TZID:UTC
BEGIN:STANDARD
TZOFFSETFROM:+0000
TZOFFSETTO:+0000
TZNAME:UTC
DTSTART:20230101T000000
END:STANDARD
END:VTIMEZONE
BEGIN:VEVENT
DTSTART;TZID=UTC:20231014T080000
DTEND;TZID=UTC:20231014T180000
DTSTAMP:20260415T002426
CREATED:20231011T054700Z
LAST-MODIFIED:20231011T054700Z
UID:10000641-1697270400-1697306400@wapi2go.com
SUMMARY:MAMA'S DAY OUT BEACH PARTY
DESCRIPTION:Karibuni Ladies katika event yetu ya pili ya MAMAS DAY OUT BEACH PARTY 2023 itakayonyika on the 14th October 2023 @thewaves_tz pale Mbezi Beach kuanzia 8:00AM mpaka 6:00PM jioni vyakula na vinywaji (non alcohol)vitakuwepo. \nMara hii ni swala zima la Afya ya Akili kwa Wanawake walio kwenye AJIRA\, WAFANYABIASHARA na WAMAMA WA NYUMBANI. \nJe\, kuna utaratibu gani uliwekwa kulinda AFYA YA AKILI katika mazingira ya kazi\, na Makampuni yamejikita kwa kiwango gani? \nPamoja na mambo mengine mengi tutao gea kuhusu MENOPAUSAL PROCESS kwa namna gani inaathiri na Wanawake tunaishi nayo vipi maana ni uhalisia haikwepeki. \nHaya yote yataambataba na activities kama tug of war\, treasure hunt na mengineyo na time zijishidia zawadi. \nNa tutakuwa na Wanenaji Wabobezi. \nKaribuni sana sana\, kwa kiingilio cha Tsh. 100\,000 \nKwa maelezo zaidi piga 0763 580 600
URL:https://wapi2go.com/event/mamas-day-out-beach-party/
LOCATION:THE WAVE\, Africana\, Kilonga Wima Area\, Dar es Salaam\, Tanzania\, United Republic of
CATEGORIES:Visual Arts
ATTACH;FMTTYPE=image/gif:https://wapi2go.com/wp-content/uploads/2023/10/MAMA-s-DAY-OUT.gif
ORGANIZER;CN="EKIMA%20CONSULTANTS":MAILTO:ekimaconsultants@gmail.com
END:VEVENT
END:VCALENDAR