A NEST OF DANCE
Goethe Institut Goethe Institut, Dar es Salaam, Dar es SalaamIMERUDI TENA!! 🙌🏾 KIOTA CHA DANSI: Msimu wa Tatu✨ tarehe 18 Septemba 2025 | Saa 1 Jioni | @goethetanzania 🎉🎉✨✨ Nantea Dance Company kwa kushirikiana na Goethe-Institut Tanzania wanakuletea Msimu wa Tatu wa Kiota cha Dansi. Msimu huu tutaangazia miaka 25+ ya dansi za kisasa Tanzania. Tukiwa tunasherehekea na kuipatia heshima historia ya dansi pamoja na waanzilishi, […]
Free