BONGO MUSIC AWARDS 2023
Kohath Music Kohath MUSIC HOUSE Kijitonyama, Dar Es SalaamTuzo za Bongo Music Awards ni Tuzo ambazo zinaandaliwa na Kampuni ya Millennium Stars Entertainment kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa Sanaa Nchini Tanzania. Lengo kuu la Tuzo za Bongo Music Awards ni kutoa hamasa na kupongeza kazi nzuri inayofanywa na Wasanii wa Tanzania katika kukuza Sanaa na muziki wa Tanzania kimataifa. Tuzo hizi zitakuwa […]