Cast Audition

Leaders Club Grounds 677G+G69, Dar es Salaam, Dar es salaam

Kama unaamini Unakipaji Cha Kuigiza, huu ndio wakati sahihi wa Kukionyesha. Tarehe 18/02/2023 Lamata Village Ent Inakupa Fursa Ya Kuja Kuonyesha kipaji chako Mbele Ya Director @lamataleah haijalishi Uko mkoa Gani au uko wapi Jumamosi hii ndio wakati Sahihi wakuianza Safari Yako kwa kutumia Kipaji Chako ili kukamilisha ndoto Zako….. Na hata kama ni Msanii tayari […]