MARAFIKI ARTS FESTIVAL EXTRA
The Slow Leopard Slow Leopard, Dar es Salaam, Dar Es SalaamTarehe 7 November 2025 ni Marafiki Extra, live atakuwepo @chudomastertz mkali wa Litungu Blues pale pale @the_slow_leopard kiwanja chetu cha siku zote. KARIBUNI WOTE. Tumefurahi sana kuona @marafikiartsfestival imewasili kwa sham sham, Yani uhakika wa burudani yenye uweredi na viwango vya juu kwa ngoma za asili na contemporary pamoja na muziki mubashara wa kiafrika umewasili. Burudani na sherehe za kufurahia ngoma […]
Tsh.10,000