MASHAIRI FESTIVALs
Soma Book Cafe, Mikocheni A Soma Book Cafe, Mikocheni A, Dar es SalaamFunga Safari! Fika Uwasilishe Ushairi Wako! 🎤🇹🇿 📯Wito kwa Washairi Wenye Umri wa Miaka 19-30! Mashairi Festival inakuletea fursa KUBWA zaidi ya kukuza kipaji chako cha ushairi! Tunatafuta Washairi 20 mahiri (kwa mujibu wa mashindano ya wazi) watakaopata mafunzo maalum na kupanda jukwaa kuu katika Tamasha la Kimataifa la Sanaa Bagamoyo (TASUBA) mnamo Novemba 2025. […]