BOOK LAUNCH

TPH BOOKSHOP TPH BOOKSHOP, Dar es Salaam, Dar es salaam

Mamlaka, mapenzi, usaliti na kisasi. Jiunge nasi kwenye uzinduzi rasmi wa kitabu Sankara wa II cha @lubacha_the_author utakaofanyika TPH Bookshop, 24 Samora Avenue, kuanzia saa 10:30 jioni. Kitabu hiki kinaelezea safari ya Meja Jenerali (MJ) mwenye ndoto kubwa za mafanikio, lakini anazama katika giza la kisasi baada ya mapenzi kuvunjika na siri nzito kufichuka. Mahali: TPH Bookshop, […]

A night of Oral Storytelling

Alliance Française de Dar Alliance Francaise, Dar es Salaam, Dar Es Salaam

Hadithi Hadithi Baada ya kimya cha muda mfupi, Kalam Salaam inawaletea usiku wa hadithi hadithi ambapo hadhira itashiriki kwa kusimulia hadithi na kusikiliza hadithi kutoka watu wengine, kuchangia na kuuliza maswali baada ya masimulizi. Nafasi za kushiriki kama msimuliaji ziko 5 tu kwa wale watakaowahi kuomba nafasi hiyo. Baada ya hapo kutakuwa na kipaza huru, […]