BEGIN:VCALENDAR
VERSION:2.0
PRODID:-//Wapi2go - ECPv6.0.7.1//NONSGML v1.0//EN
CALSCALE:GREGORIAN
METHOD:PUBLISH
X-ORIGINAL-URL:https://wapi2go.com
X-WR-CALDESC:Events for Wapi2go
REFRESH-INTERVAL;VALUE=DURATION:PT1H
X-Robots-Tag:noindex
X-PUBLISHED-TTL:PT1H
BEGIN:VTIMEZONE
TZID:Africa/Dar_es_Salaam
BEGIN:STANDARD
TZOFFSETFROM:+0300
TZOFFSETTO:+0300
TZNAME:EAT
DTSTART:20250101T000000
END:STANDARD
END:VTIMEZONE
BEGIN:VEVENT
DTSTART;TZID=Africa/Dar_es_Salaam:20260409T190000
DTEND;TZID=Africa/Dar_es_Salaam:20260409T193000
DTSTAMP:20260526T211719
CREATED:20260331T203214Z
LAST-MODIFIED:20260331T203214Z
UID:10002087-1775761200-1775763000@wapi2go.com
SUMMARY:A night of Oral Storytelling
DESCRIPTION:Hadithi Hadithi \nBaada ya kimya cha muda mfupi\, Kalam Salaam inawaletea usiku wa hadithi hadithi ambapo hadhira itashiriki kwa kusimulia hadithi na kusikiliza hadithi kutoka watu wengine\, kuchangia na kuuliza maswali baada ya masimulizi. \nNafasi za kushiriki kama msimuliaji ziko 5 tu kwa wale watakaowahi kuomba nafasi hiyo. Baada ya hapo kutakuwa na kipaza huru\, na burudani nyingine. \nNjoo tuenzi na kukumbushana jioni za hadithi za babu na bibi zetu katika jukwaa la Alliance Francaise\, Dar es Salaam. \nHii ni sehemu ya FEF CREATION AFRICA TANZANIA. Tunawashukuru Ubalozi wa Ufaransa nchini Tanzania (@franceintanzania) na Alliance Française ya Dar es Salaam (@af_dar) kwa kuunga mkono mradi wetu chini ya FEF Creation Africa Project. Endelea kufuatilia na jiunge nasi #creationafricatanzania kwa habari zaidi. Tembelea washirika wetu hapa chini kujifunza zaidi kuhusu miradi yao:\n•\n•\n@singelimovement_\n@ubt.tanzania\n@ajabuajabu\n@altaer_sp\n@asedeva_tanzania\n@dcmazanzibar\n@mervkirep\n@mkukinanyota\n@rangigallerytz\n@tzpunchline\n@deja_vu_studios_\n@singelimedia\n#CreationAfrica #CreationAfricaTanzania #CreationAfricaTz \n#KalamSalaam
URL:https://wapi2go.com/event/a-night-of-oral-storytelling/
LOCATION:Alliance Française de Dar\, Alliance Francaise\, Dar es Salaam\, Dar Es Salaam\, Tanzania\, United Republic of
CATEGORIES:Literature & Poetry
ATTACH;FMTTYPE=image/jpeg:https://wapi2go.com/wp-content/uploads/2026/03/Hadithi.jpg
GEO:-6.8065091243002;39.286649768081
X-APPLE-STRUCTURED-LOCATION;VALUE=URI;X-ADDRESS=Alliance Française de Dar Alliance Francaise Dar es Salaam Dar Es Salaam Tanzania United Republic of;X-APPLE-RADIUS=500;X-TITLE=Alliance Francaise\, Dar es Salaam:geo:39.286649768081,-6.8065091243002
END:VEVENT
BEGIN:VEVENT
DTSTART;TZID=Africa/Dar_es_Salaam:20250814T163000
DTEND;TZID=Africa/Dar_es_Salaam:20250814T193000
DTSTAMP:20260526T211719
CREATED:20250806T105258Z
LAST-MODIFIED:20250806T105258Z
UID:10001744-1755189000-1755199800@wapi2go.com
SUMMARY:BOOK LAUNCH
DESCRIPTION:Mamlaka\, mapenzi\, usaliti na kisasi. \nJiunge nasi kwenye uzinduzi rasmi wa kitabu Sankara wa II cha @lubacha_the_author utakaofanyika TPH Bookshop\, 24 Samora Avenue\, kuanzia saa 10:30 jioni. \nKitabu hiki kinaelezea safari ya Meja Jenerali (MJ) mwenye ndoto kubwa za mafanikio\, lakini anazama katika giza la kisasi baada ya mapenzi kuvunjika na siri nzito kufichuka. \nMahali: TPH Bookshop\, 24 Samora Avenue\nMuda: Saa 10:30 jioni – Saa 1:30 Usiku\nTarehe: 14/08/2025 \nKitabu kitapatikana na kusainiwa na mwandishi. \n#SankaraWaII #UzinduziWaKitabu #TPHBookshop #FasihiYaKiswahili #KitabuNiZawadi #WaandishiWaTanzania
URL:https://wapi2go.com/event/book-launch/
LOCATION:TPH BOOKSHOP\, TPH BOOKSHOP\, Dar es Salaam\, Dar es salaam\, Tanzania\, United Republic of
CATEGORIES:Education,Literature & Poetry
ATTACH;FMTTYPE=image/jpeg:https://wapi2go.com/wp-content/uploads/2025/08/Book-launch.jpg
END:VEVENT
END:VCALENDAR