ULUGURU VALENTINE EDITION

Uluguru Mountains Uluguru Mountains, Morogoro, Morogoro

Karibu katika tukio la kipekee la siku ya Wapendanao yaani Valentine's Day! Jiunge nasi kwa siku mbili za kipekee za kufanya Hiking, Camping, na BBQ katika mandhari ya kupendeza ya Mlima Uluguru. Hapa utapata fursa ya kushuhudia Maporomoko ya maji (Choma waterfall) yanavyo dondoka kwa ustadi wa asili, huku ukifurahia mandhari ya kijani 🍀kibichi🌺 na […]