DAR ES SALAAM, LETS DANCE
This upcoming Saturday we are going to have a dance class led by @sannacleva & @dorine_mugisha at Muda Kona. Free entrance! Karibu Jumamosi hii kutakuwa na darasa la dansi litakaloongozwa na walimu @sannacleva & @dorine_mugisha hapa Muda Kona. Tunakukaribisha na hakuna kiingilio!