KARAOKE NIGHT PARTY

NGALAWA BAR 66FQ+JX8, Mawalla St, Dar es Salaam, Dar es Salaam

Ni alhamisi hii tukutane pamoja na tuimbe pamoja, ni Karaoke Party ikisimamiwa na @thury pamoja na @djp9 Usipange kukosa Alhamisi hii, kutakuwa na ofa kibao pamoja na zawadi kwa washindi watakao imba vizuri. Eneo ni Ngalawa pub kijitonyama, nyuma ya jengo la Sayansi, karibu na kanisa KKKT kijitonyama, google map #ngalawabar

Free