SANAA NA WANAWAKE – TANGAZO LA USAJILI WA WANAWAKE

SANAA NA WANAWAKE (SAWA) TANGAZO LA USAJILI KWA WANAWAKE . Wito kwa wasanii wa kike jijini Mwanza kushiriki katika mafunzo ya sanaa ya uoni mwezi Agosti, 2024. Jifunze kufanya sanaa yako katika ubora wa hali ya juu zaidi. Tuma michoro yako Bora mitano (5) kwa barua pepe: [email protected] Mwanzo wa kujisajili: 5 July 2024 Mwisho: […]

Free

WAKATI WETU EXHIBITION

Gunzert House Gunzert House, Mwanza, Mwanza

Wasanii wa kike 10 wataonesha kazi za sanaa walizotengeneza baada ya kupata mafunzo kupitia mradi wa Sanaa na wanawake. Ten female visual artists will showcase artworks that they created after participating in The “Sanaa Na Wanawake (SAWA)” workshop. The project is supported by @nafasiartspace @norwayintz @swedenintz

Free

WAKATI WETU EXHIBITION

NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Tunayo furaha kuwakaribisha kwenye maonyesho ya kipekee ya michoro kutoka kwa @minzimims, kupitia mradi wake unaoangazia sanaa na wanawake. Usikose kujumuika nasi! Tarehe: 01/11/2024 Muda: 18:30 Sehemu: Nafasi Art Space *********** We’re excited to welcome you to a special art exhibition by @minzimims, featuring her inspiring project focusing on art and women. Don’t miss out […]

Free