STORIES WE GOT TO TELL
The Little Theatre Little Theatre, Dar es Salaam, Dar Es SalaamKatika kilindi cha moyo ,zipo simulizi tamuu,simulizi zenye kushibisha haja ya masikio yenye njaa na kukonga nyoyo,simulizi zenye kufurahisha ,kuchangamsha na wakati mwengine kuhuzunisha. Simulizi zenye kufundisha,kuonya na kubadilisha mitazamo hasi.... Je masikio yako yameshibaa? Moyo wako umekongwa na simulizi za utu? kama laaa ungana nasi kusikiza sauti tamu za bunifu zilizobeba simulizi kutoka […]
Tsh15000 – Tsh50000