SAUTI ZA BUSARA MUSIC FESTIVAL
Sauti za Busara music Festival Sauti za Busara music Festival, Old Fort, ZanzibarUngana nasi kuanzia Februari 14 hadi 16 Februari ndani ya Mji Mkongwe, Zanzibar. Ni siku tatu, majukwaa manne, na bendi zaidi ya 20 zikipiga Live 100% muziki wa Kiafrika chini ya anga la Afrika! 🌍 Tiketi za mapema zinapatikana sasa mtandaoni kupitia tovuti yetu, Tukiio, na pia katika vituo vya ukataji tiketi katika maeneo haya: […]