A NIGHT OF POETRY MAGIC AND LIVE MUSIC
NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam"Anaitwa RIPE SWAHEEL, Mtunzi na muimbaji wa mashahiri nae atakuwepo kwenye Usiku wa A Night Of Poetry magic and live music march 02 , 2024 @nafasiartspace ,Imeandaliwa na @spectrum_tz Na @manyasimedia . Kiingilio ni Tsh.15,000/- tu getini Sehemu ya kupata tiketi 1. Sinza - Powaful products - +255 762 177 073 2. Skycity - Spectrumtz - +255 756 237 783 3. […]
Tsh15000