42nd BAGAMOYO INRETNATIONAL FESTIVAL FOR ART AND CULTURE

TASUBA College of Arts Bagamoyo

WITO KWA WASANII KUSHIRIKI TAMASHA LA 42 LA KIMATAIFA LA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) inapenda kuwakaribisha wasanii na vikundi vya sanaa kwa ujumla kuomba kushiriki kwa kufanya maonesho katika Tamasha la 42 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo litakalo fanyika katika viwanja vya TaSUBa – Bagamoyo kuanzia […]

Free