SANAA BLAST FESTIVAL 2023
HILL PARK PARKING tz, DAR ES SALAAM, OtherParticipatory Event perfomed by STUDENTS OF UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
Participatory Event perfomed by STUDENTS OF UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
Karibu kwenye kilele cha SANAA BLAST FESTIVAL 2026🔥🔥 🎬 18 Juni – Screening na Exhibition ndani ya SANAA STUDIO, Idara ya Sanaa Bunifu🎤 🎶🕺 19 & 20 Juni – fashion, dance, comedy na mengi zaidi ndani ya UDSM NEW LIBRARY PARKING LOT Siku tatu. Jukwaa moja✅ Usije kusimuliwa kilichotokea. Njoo ushuhudie mwenyewe. #SanaaBlastFestival2026#UDSM #CreativeArts
After an inspiring and thought-provoking discussion in Bagamoyo at TASUBA college, Mitazamo Yetu continues its journey to the University of Dar es Salaam. Join us for Frozen Power - a contemporary dance work inspired by Liti Kidanka, a female healer and resistance leader from Singida who opposed German colonial rule. The performance explores women’s role […]
you are warmly welcome
KARIBUNI KWENYE ONESHO MAALUM LA SANAA! tunakukaribisha kushuhudia vipaji vya kipekee kutoka kwa wanafunzi wetu wa Theatre Arts katika onyesho lao. Kutakuwa na maonesho ya kusisimua ya Theatre Art Performance pamoja na Dance Choreography yaliyoandaliwa kwa ubunifu na umahiri mkubwa kutoka wanafunzi wa Theatre Arts. Njoo uunge mkono wasanii wetu, ujionee vipaji vyao na kufurahia […]