PAINT AND SIP WITH UZURI
The cube The cube restaurant Mindu, Dar es Salaam, Dar - es - SalaamKwa mara ya nyengine, tunawakaribisha wote kufanya painting pale THE CUBE Mindu street, hauhitaji kuwa mchoraji mzuri au mzoefu, yeyote anaweza kuja kufurahi na kunywa. Waambie familia na marafiki! Vinywaji sio vya vilevi.
Tsh40000